TANGAZO LA NAFASI ZA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO 2025.

❇Uongozi wa Shule ya Sekondari Lwandai iliyopo Mlalo Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga unapenda kuwatangazia nafasi ya masomo kwa kidato cha tano (form five) mwaka 2025 kwa tahasusi zifuatazo: CBA, HGL PCM, PCB, CBG, EGM, PGM HGL,HGK,HGE, HGFa, HKLi, DHK, DGL, DKL, DHL na HKL.

❇Sifa za kujiunga mwanafunzi awe na daraja la kwanza, daraja la pili au la tatu lenye Credit (A-C) tatu za masomo yake anayotaka kusoma (tahasusi).

NB:HATUNA USAILI (INTERVIEW) MATOKEO YA NECTA NI KIGEZO TOSHA.

✅Shule pia ina programu ya Pre – form five na itaanza tarehe 22/04/2025 hadi tarehe 22/06/2025. Gharama ya pre form five course ni 200,000/= kwa miezi miwili (Boarding) na 100,000/= (Kutwa) na huduma ya chai na chakula cha Mchana.

👉fomu za kujiunga zinapatikana sehemu zifuatazo kwa malipo ya shilingi elfu kumi (10,000/=) tu.
▪Shuleni Lwandai sekondari
▪Tovuti: www.lwandai.sc.tz

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na uongozi wa shule kwa simu namba zifuatazo:
0786 696486/0716 341192 KAIMU MKUU WA SHULE.
0699 558 338 MAKAMU MKUU WA SHULE.

Karibuni sana.