Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu, leo tarehe 23/05/2021 ametembelea na kuonana na wanafunzi,walimu pamoja na wafanyakazi wa Shule ya Sekondari Lwandai inayo milikiwa na KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki kwa lengo la kuwasalimu. Amesema amefurahi kuona mazingira ya shule yakiwa katika hali nzuri na rafiki […]
