TANGAZO LA NAFASI ZA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO 2025.
❇Uongozi wa Shule ya Sekondari Lwandai iliyopo Mlalo Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga unapenda kuwatangazia nafasi ya masomo kwa kidato cha tano (form five) mwaka 2025 kwa tahasusi zifuatazo:
Mahafali ya 31 Shule ya Sekondari Lwandai
Leo tarehe 3 Novemba 2020 kumefanyika mahafali ya 31 ya kidato cha nne katika shule yetu ya Lwandai inayomilikiwa na KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki , ambapo wanafunzi 50 (wa kike