March 20, 2025 TANGAZO LA NAFASI ZA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO 2025. ❇Uongozi wa Shule ya Sekondari Lwandai iliyopo Mlalo Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga unapenda kuwatangazia nafasi ya masomo kwa kidato cha tano (form five) mwaka 2025 kwa tahasusi zifuatazo: