November 3, 2020 Mahafali ya 31 Shule ya Sekondari Lwandai Leo tarehe 3 Novemba 2020 kumefanyika mahafali ya 31 ya kidato cha nne katika shule yetu ya Lwandai inayomilikiwa na KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki , ambapo wanafunzi 50 (wa kike