Mahafali ya 31 Shule ya Sekondari Lwandai

Leo tarehe 3 Novemba 2020 kumefanyika mahafali ya 31 ya kidato cha nne katika shule yetu ya Lwandai inayomilikiwa na Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, ambapo wanafunzi 50 (wa kike 26 na wa kiume 24) wamehitimu. Mgeni rasmi katika mahafali haya alikuwa Mchungaji Peter Bendera (Mkuu wa Dinari ya Kaskazini). Mahafali haya yalifana sana yakipambwa nRead More…